Askari mmoja wa jeshi la polisi ambao hutumia pikipiki kufanya doria,
aliyejulikana kwa jina la Ramadhani, amenusurika kuuawa leo (jana) mchana na wananchi
wenye hasira mjini Morogoro kwa kutuhumiwa kusababisha ajali ya dereva
wa bodaboda ambaye aliparamia lori.
Tukio hilo linawahusisha askari wawili wa kikosi cha kutuliza ghasia
(FFU) waliokuwa wakiendesha pikipiki yenye namba za usajili za PT 823
ambayo ni mali ya polisi.
Mashuhuda wamesema kwamba polisi hao walikuwa wakimfukuza dereva huyo
wa bodaboda ambaye alikwenda kujikita katika lori ambapo wananchi
waliwatuhumu kusababisha ajali hiyo na kuanza kuwashambulia.
Baada ya kuona hivyo, polisi hao walianza kurusha risasi hewani lakini wananchi waliwakabili kwa kuwarushia mawe
Baada ya kuona hivyo, polisi hao walianza kurusha risasi hewani lakini wananchi waliwakabili kwa kuwarushia mawe
Mpekuzi blog
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.