Juzi Kila Kona kwenye mitandao kulizuka habari kuwa Hussein Machozi Amefariki Dunia kitu ambacho kumbe hakikua Kweli ..
Msikilize Hussein
Machozi Kwa Mara ya Kwanza akiongelea Tukio hilo na Pia habari ya yeye
kukimbia Kenya Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mwanasiasa wa Kenya
Hotelini Wakibanjuka.......
Bongo Fuse TV Inakuletea Uhondo Huo Hapa Chini:
Mpekuzi blog
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.