Katika siku za hivi karibuni ndege
aitwae kware ameanza kuwa ndege maarufu katika baadhi ya wafugaji katika
nchi yetu na kwa wale ambao walikuwa wakiwawinda porini enzi na enzi
kwa ajili ya kitoweo.
Watu bado wana imani kuwa ndege huyu
hawezi kufungwa kama hatakimbia basi atajiua, lakini kwa wale wanaotaka
kumfuga ndege huyu mdogo mwenye mayai matamu ya madoadoa wanaweza sasa
inaweza kugeuka chanzo cha mapato na sehemu ya chakula bora kwa familia.
Mayai
ya kware na yale ya kuku ingawa taarifa nyingi nilizopata kwenye
mitandao na kwingineko inaonyesha tu kwa habari za watu waliopata
kutumia mayai ya kware na kuona umuhimu wake katika afya.
Baadhi ya tovuti kuongelea tu kwamba
mayai haya ni mazuri yanasaidia kwa afya bado kama watu wanaotaka
kueleew inakuwa haikidhi haja kuamani tu ya kuwa yana saidia katika
afya, yanasaidia watu walikuwa na matatizo mbalimbali ya kiafya
wakiendelea vizuri.
Mayai ya Kwale ni chakula bora na sio
dawa kama watu wengi waliotumia wakapata nafuu kwa yale waliokuwa
yakiwasibu na wale waliokuwa na dhaifu nyingine katika mwili wakarejea
afya maridhawa kwani haya mayai yana mchango mkubwa pia kama chakula
bora.
Mwenyezi Mungu aliamua kuwapa wana waisrael kama chakula
kwenye Kutoka 16:13 na mtumishi Daudi anakomelezea kwenye Zaburi 105:40.
Sasa kwa kuwa siku zote najua kuwa Mungu hapingani na sayansi kitu
wanasayansi wanachofanya nikungudua tu mambo ambayo Mungu ameyaweka
kwahiyo ikabidi nitafute kisayansi sasa sisi tunaopenda kuoona na
kufanya akili zetu zielewe maana ukielewa jambo kwenye akili yako ni
rahisi kufanyia kazi.
Katika kutafuta nikasema pamoja na vyanzo
vya wataalamu binafsi ningependa kupata vyanzo vilivyo vya kiserekali
ambavyo wao hawana upande waliolalia maana hawa wataalamu binafsi
wanaweza kuwa na ajenda zao.
Utafiti wa USDA (United State Department
of Agriculture) unaonyesha tofauti za mayai haya kwa kina katika
category 78 za nutrients zilizogawanya mayai ya kware yana vitu 31 zaidi
ambayo ya kuku hayana kabisa wakati yale ya kuku ya kitu kimoja tu
ambacho hakiko kwenye ya kware.
Vitamin K (phylloquinone) na katika hizo
45 vilivyobaki vya kware 42 viko juu na vingine hata mara mbili ya zile
za kuku, wakati vya kuku ni 3 vitatu ambayo vimezidi vile vya kware.
Angalia link hizo hapo chini kwa number kamili
Faida hizi zote
tunaweza kupata kama watu wetu watajiingiza katika ufugaji wa ndege huyu
ambaye anapatikana sehemu nyingi unaweza kuanza kidogo kidogo mpaka
wakafikia mwengi,na kama unavyooana hapo juu unaweza kutengeneza banda
rahisi la mbao laini na wafu na kuanzia hapo, ila wawapo wadogo waweke
kwenye box na kuwawekea taa kama ufanyavyo kuku.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.