Mchaka Zaidi

Thursday, June 25, 2015

Linah kwenye studio ya Millard Ayo! ishu ya boyfriend wake na Wema Sepetu kaizungumzia hapa

Linah 3Linah ni mwimbaji wa bongofleva ambapo hivi karibuni mpaka Mama yake mzazi alimpigia simu kutaka ajiepushe kugombana na watu baada ya kusikia stori kwamba anagombea Mwanaume na Wema Sepetu.

Ilimfanya mama afikie hatua hiyo baada ya kusikia tu stori za watu na baadhi ya mitandao na gazeti lililoandika hiyo habari lakini ukweli wenyewe kutoka kwa Linah uko kwenye hii video ya Interview aliyofanyiwa TZA kwenye studio ya Millard Ayo.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.