Mchaka Zaidi

Monday, June 22, 2015

Wema Sepetu kuhusu mtoto na Diamond, ujauzito wa Zari na mimba aliyotoa. ( video )

WEMA s


Mahojiano na mwigizaji Wema Sepetu kwenye TV show ya TAKE ONE CloudsTV na Zamaradi Mketema yalimalizika kwa hiki kipisi cha dakika 15 Wema akielezea mengi ya moyoni ikiwemo ya kupata mtoto na Diamond, Ujauzito wa Zari na mimba aliyowahi kuitoa.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.