Mchaka Zaidi

Saturday, June 20, 2015

HII SIKUBALI UPITWE;Kuna TV ya Venezuela ambayo watangazaji wa kike wanasoma habari wakiwa watupu




Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni. Kuna TV ya online ya nchini Venezuela iitwayo Desnudando la Noticia ambayo wasomaji wa habari husoma wakiwa watupu. 


Jionee mwenyewe. Sehemu Nyeti  Zimefichwa  Kulinda  Maadili.

Chanzo: Mpekuzi blog

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.