Mchaka Zaidi

Saturday, July 11, 2015

Rais Kikwete kathibitisha haya majina matano ya Wagombea Urais waliopitishwa CCM

jakaya-kikwete-3

Pichaz zilianza kusambaa mitandaoni, baadae ikaja stori kuhusu Wagombea walioteuliwa kwenye Urais kupitia CCM.
Muda unavyozidi kwenda ukweli wa hii stori unachukua nafasi zaidi, kwenye ukurasa wa @Twitter wa Rais JK kathibitisha majina haya matano kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM Dodoma.
Kamati Kuu imefanya kazi ya kwanza. Majina matano ya awali ni: Bernard Membe John Magufuli Asha Rose Migiro Januari Makamba Amina S. Ali“– @
Chanzo: millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.