Ikiwa ni siku chache tangu Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa kuenguliwa jina lake katika mbio za kuwania Urais na kamati ya maadili CCM, kumekuwepo na sintofahamu juu ya hatma ya mwanasiasa huyo.
Leo Lowassa kazungumza Bahari Beach, Dar es salaam pamoja na viongozi mbalimbali wa UKAWA walikutana na waandishi wa habari na kuzungumzia hatma yake kuelekea Ikulu pamoja na upungufu uliojitokeza wakati wa uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa CCM.
Amesema baada ya kutafakari kwa kina na kujiridhisha ameamua kujiondoa CCM na kuitikia wito wa UKAWA kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA.
Amesema pia safari yake haitafanikiwa iwapo hawatajitokeza watu wengi kupiga kura, na anaiomba Tume ya uchaguzi NEC kuongeza muda wa kujiandikisha ili watu wote waweze kujiandikisha kama ilivyofanya katika Mikoa mbalimbali.
Pia amesema alinyimwa haki yake na CCM kama Mtanzania kujieleza na kujitetea, hivyo atakua mnafiki akisema ana imani na chama hicho.
Nimetumia wiki mbili kutafakari hatma yangu ktk Siasa, najua wengi wamesubiri kwa hamu. #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Watu wangu wamesema fanya maamuzi magumu.. Namshukuru Mke wangu na familia wamekuwa na mimi ktk kipindi kigumu- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Nawashukuru watu wengi waliojitokeza kuniunga mkono wakati natafuta wadhamini- #TZALiveUpdates#LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Uchaguzi wa Mgombea CCM ulijaa chuki dhidi yangu, Kamati ya Maadili haikutakiwa kuchagua Mgombea- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Kilichotokea Dodoma kinaitwa ‘kubaka Demokrasia’ – #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
CCM iliwatumia vijana wachache kunikashifu na baadae wakapewa Madaraka makubwa- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Kibaya zaidi kilikuwa kuwanyima Wagombea 38 wa CCM haki ya kujieleza mbele ya Kamati Kuu- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Nilinyimwa haki ya Msingi ya kusikilizwa na kujieleza CCM, nitakuwa mnafki kusema nina imani na CCM –#TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
CCM niliyoiona Dodoma sio CCM iliyonilea Kisiasa, mimi km Mtanzania mwenye Uhuru nasema sasa basi- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 201
Mwalimu NYERERE alisema CCM sio baba yangu wala mama yangu,nimeamua kuanzia leo naondoka CCM na kujiunga CHADEMA-#TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Namshukuru sana James MBATIA na Viongozi wa UKAWA kwa kuniamini na kunipokea- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Naamini UKAWA tutaondoa mfumo wa Utawala wa Chama kimoja, naomba Watz wajiunge nasi ktk SAFARI YA MATUMAINI- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Naomba Watz wajiandikishe ktk Daftari la Kupiga Kura,watunze Shahada za kupigia Kura ili tuiondoe CCM Madarakani-#TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Mimi nauchukia UMASKINI, Kiongozi kujionesha maskini ni upuuzi. Natamani Watz wawe Matajiri km MENGI na AZAM – #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Kulipa kisasi ni upuuzi, umefanya nini mpaka useme nitalipa kisasi? Waulizeni wamefanya nini nilipe kisasi?- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Kulipa kisasi ni upuuzi, umefanya nini mpaka useme nitalipa kisasi? Waulizeni wamefanya nini nilipe kisasi?- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Msiwatishe, kama wamefanya madhambi yao waambieni nimewasamehe mimi sitalipa kisasi- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
LIPUMBA- ‘UKAWA tumekubaliana maliasili na Rasilimali zitumike kwa manufaa ya Watz wote’ – #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘CCM imekuwa na Wabunge wengi ndani ya Bunge, imefanya waangalie maslahi yao zaidi kuliko Taifa- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Tumekubaliana Wabunge wa UKAWA wakiingia Bungeni November 2015 waangalie zaidi maslahi wa Watz’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBATIA- ‘Tunawakikishia Watz kwamba nguvu kubwa ya Serikali ya UKAWA itaangalia maslahi ya Watz’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Nilisema mtu ambaye ana ushahidi wowote kuhusu mimi kuhusika na RICHMOND peleka Mahakamani, kama huna kaa kimya –#TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Tulikuwa na tatizo la Umeme, tukahangaika kuleta Mitambo ya kuzalisha umeme- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Tulipata taarifa kuwa mtu ambaye tunampa kazi ya kuzalisha umeme hakuwa na uwezo- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Niliondoka Madarakani lakini tatizo limeongezeka, mikono yangu ni misafi mwenye Ushahidi peleka Mahakamani- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MAKAIDI- ‘Nashukuru mmetuletea kifaa LOWASSA, nilimfahamu LOWASSA kupitia mtoto wangu’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MAKAIDI- ‘LOWASSA amekuja UKAWA afuate na Sisi tunavyotaka asahau kidogo mambo ya CCM’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MAKAIDI- ‘Watanzania wamekwama, najua LOWASSA amekuja UKAWA kutukwamua.. Karibu sana LOWASSA’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
Salum MWALIMU- ‘Kuna taarifa kuwa sehemu kubwa ya Mikoa ya Mbeya, Singida na Arusha umeme umekatwa’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBATIA-‘Siku ya leo nina amani kutoka sakafu ya moyo wangu, ninawahakikishia Watz kuwa TZ bila CCM inawezekana’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBATIA- ‘UKAWA hatutamwaga damu lakini walio Madarakani wasituchokoze, uwezo wa kupambana kwa hoja tunao’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Tunapenda kumkaribisha LOWASSA pamoja na familia, marafiki zako na kundi la Watz wapenda haki’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Ujio wako CHADEMA umezua hofu nyingi kwa sababu hii ni nchi ya hofu’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Watu wengi wa CCM wamenipigia simu wakasema kumkaribisha LOWASSA ni kuharibu Chama’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Niliwajibu ni kweli ataharibu Chama, lakini nikajiuliza lini CCM ikawatakia mema CHADEMA?’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Kumleta LOWASSA kwenye meza hii haikuwa kitu chepesi, tumekaa Vikao viingi usiku na mchana’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Naongea kwa ujasiri,hatuwezi kufikiri mambo mema mapya kama tutaendelea kufikiri mambo mabaya ya zamani’-#TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Chama cha Siasa ni watu, mimi niletewe watu Milioni niwakatae mimi ni mwendawazimu?’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Mimi na Viongozi wa UKAWA hatufikirii kulipiza kisasi’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Tumeshuhudia Vita ya makundi ndani ya CCM na wengine wakaadhibiwa. Wengi wanalalamika, wanaona ukweli lakini hawana uhuru kuongea’ — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Tumeshuhudia Vita ya makundi ndani ya CCM na wengine wakaadhibiwa. Wengi wanalalamika, wanaona ukweli lakini hawana uhuru kuongea’
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Hatujamkaribisha LOWASSA pekeyake, tumemkaribisha na Mamilioni ya Watanzania’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Chama cha Siasa ni watu, mimi niletewe watu Milioni niwakatae mimi ni mwendawazimu?’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Mimi na Viongozi wa UKAWA hatufikirii kulipiza kisasi’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Mimi na Viongozi wa UKAWA hatufikirii kulipiza kisasi’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Umesaidia kumfungua kifungoni Mbunge Ole MEDEYE na Wabunge wengi ambao tutaendelea kuwakaribisha’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘CHADEMA haiongozwi kwa kauli za MBOWE, inaongozwa kwa Katiba na Kanuni za Chama’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Namshukuru sana Rais JK, umesaidia kutujenga Upinzani kuelekea Uchaguzi wa mwaka huu’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘LOWASSA ujitahidi sana Mazoezi kwa sababu huku kuna mabomu’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘LOWASSA alipokuwa analalamika Dodoma sisi tulikuwa tunafurahi’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM — millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
MBOWE- ‘Umesaidia kumfungua kifungoni Mbunge Ole MEDEYE na Wabunge wengi ambao tutaendelea kuwakaribisha’- #TZALiveUpdates #LowassaCDM
— millard ayo (@millardayo) July 28, 2015
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.