Mchaka Zaidi

Friday, July 31, 2015

Kilichonaswa kwenye msafara wa Lowassa baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais.

LW

Hii ni wakati Edward Lowassa alipochukua fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA ambapo wafuasi wa chama hicho walimsindikiza kwa msafara kutokea makao makuu ya CHADEMA Kinondoni mpaka ofisini kwake Mikocheni Dar es salaam, zaidi jionee mwenyewe ilivyokua kwenye hii video hapa chini.


Chanzo: Millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.