Kikao cha Kamati Kuu ya chama cha mapinduzi (CC) kimemalizika hivi punde(saa saba usiku) mjini Dodoma.
Tovuti ya CCM imeyatangaza majina matano yaliyopitishwa na Kamati ya CCM (CC) kuwa ni ;
1) Bernard Membe
2) John Magufuli
3) Asha Rose Migiro
4) January Makamba
5) Amina S. Ali
Chanzo: Mpekuzi blog
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.