Kwenye kuzi count zile siku ambazo Diamond Platnumz alizitamka kuwa tumtegemee kuitwa Baba leo kaamua kushare picha za chumba cha mtoto wao huyo wanaemtegemea yeye pamoja na Mpenzi wake Zari.
Diamond kwenye video ambayo amepost kwenye mtandao wa picha wa Instagramameonyesha anachezea viatu vya mtoto huyo huku tukionyeshwa mandhari ya chumba hiko.
Bonyeza play kutazama video hiyo.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.