Mchaka Zaidi

Tuesday, August 18, 2015

Picha za muonekano wa mabasi mapya ya Mwendokasi Dar es Salaam

.

Jana nilikusogezea stori kuhusiana na huu mradi wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) sasa hapa ni time ya kuona hizi picha za muonekano wa mabasi hayo kwa ndan na nje..
.
Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia akiwa katika kiti cha dereva.
.
.
.
Viti vya Abiria.
.
.
.
.
3X6A0824
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki (Kulia) na (nyuma) Kamanda Kova ni miongoni mwa walioshiriki uzinduzi wa mabasi hayo.
.
Camera za ndani ya basi hilo jipya.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Chanzo: millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.