Timu ya millardayo.com
ilikusogezea updates zote kila kilichokuwa kinaendelea August 10 2015
katikati ya Dar es Salaam, ilikuwa ni msafara kuanzia Buguruni, kupitia
Ilala Kariakoo mpaka Posta kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi NEC ambapo
Wagombea Urais wa Umoja wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa, Juma Duni Haji (Mgombea Mwenza) na Maalim Seif Shariff Hamad (Zanzibar) walienda kwa pamoja kuchukua Fomu.
Tayari nimeiweka karibu na wewe hii video uone njia nzima msafara ulivyokuwa mtu wangu.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.