Magazeti ya August 3 2015 yako mtaani tayari na vichwa vyake vikubwa vya habari, kazi yangu ni kukusogezea zile zote kubwa kubwa zinazoweka vichwa vya habari magazetin
CCM waanguka kura za maoni, Rostam Aziz ajisalimisha kwa Magufuli, Makada wa CCM ngumi nje nje na Makongoro Mahanga ajingo’a CCM na kujiunga na CHADEMA.
Mawaziri wa 5 CCM waanguka kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge kupitia Chama hicho, wakiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe na Manaibu Waziri 4.
Kamati Kuu CHADEMA yakaa Kikao kwa siri nzito… Kuna stori pia kuhusu Yusuph Manjina Said Fella kuibuka kidedea katika kinyanganyiro cha Udiwani katika jimbo jipya laMbagala jijini Dar.
Unaweza kusikiliza uchambuzi wa stori zote kutoka magazeti @CloudsFM hapa chini kwenye hii sauti.
Chanzo:millardayo.com
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.