Ilikuwa burudani ya aina yake mtu wangu ndani ya Ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam August 06 2015 ambapo Wasanii zaidi ya 300 kutoka Kiwanda cha Bongo Movie na Bongo Fleva TZ walikutana kumuaga Rais Kikwete katika hafla ambayo iliandaliwa na Umoja wa Wasanii hao.
Full video nyingine ni hii hapa mtu wangu, burudani ndani ya burudani, Rais JK na Vanessa Mdee walifungua dance ya nguvu, kwenye stage alikuwepo Dk. John Magufuliakionesha uwezo wake kupiga ngoma safi kabisa, Nape Nnauye nae akashikilia vizuri kabisa gitaa la bass, mambo yakanoga..!!
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.