Mchaka Zaidi

Friday, August 7, 2015

Ishu ya namba ya Mr.Blue kutumika kwenye utapeli imemfikia Soudy Brown..#Uheard (Audio)

kb

Jana Mamlaka ya mawasialiano TCRA iliandaa mafunzo kwa ajili ya wasanii kuhusu kufanyiwa utapeli kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, wasanii wachache tu ndio walioweza kuhudhuria.
Loe kuna stori imemfikia Soudy Brown inamhusu Mtayarishaji aliyetapeliwa na mtu aliyedai ni Mr Blue ambaye walikubaliana akafanye shoo kwenye Visiwa vya Nansio, Ukerewe.
Anasema walitafuta namba za Mr Blue kupitia kwa mshkaji wake na kusema amepewa na Young Dee, walivyompigia muhusika akasema yeye ni Mr. Bluu, wakazungumza kuhusu shoo kufanyika Nansio huku wakikubaliana kisha kumtumia nauli 150,000, lakini baadaye kumbe hakua muhusika.
Walimpigia Mr. Blue na kukana kumjua aliyetumiwa hela.
Msikilize Promota aliyetapeliwa akisimulia kwa Soudy Brown…

Chanzo: Millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.