Mchaka Zaidi

Wednesday, July 29, 2015

Full video ya Lowassa akitangaza kuhamia CHADEMA !

3X6A9467

Waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa July 28 2015 Bahari beach Dar es salaam alitangaza maamuzi yake mapya ya kukihama chama cha mapinduzi CCM na kujiunga na CHADEMA ambacho kipo kwenye muungano wa UKAWA.
Hii hapa chini ni full video ya Lowassa akitangaza hayo maamuzi yake mapya.

Chanzo:Millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.