Mwigizaji Wema Sepetu alikua miongoni mwa wanaoutaka Ubunge wa viti maalum 2015 lakini mwisho wa matokeo kura zake hazikutosha kwenye nafasi hiyo Singida, akashika nafasi ya nne kati ya wanne waliogombea, pamoja na kuukosa Ubunge alipokewa kwa shangwe wakati aliporudi Dar es salaam akitokea Singida July 26 2015.
Chanzo: millardayo.com
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.