Hizi pichaz zimechukua headlines sana Instagram, zinamwonesha Diamond Platnumzakiwa na mpenzi wake, Zari the Bosslady.
Zari ana ujauzito na huenda time yoyote tukafikiwa na good news ya kujifungua kwake.
Katika akaunti ya Zari aliweka picha na kuandika ujumbe huu >>>> “Kwa raha zetu…… vaeni madera, fungeni mikanda mpite kimya kimya Keeping it sexy and classy.#BabyBumpPhotoShoot ” >>>> @zarithebosslady
Wakati wa Tuzo za MTV MAMA 2015 Afrika Kusini, Diamond alifanya Interview Exclusivena #AyoTV, alizungumzia pia kuhusu mtoto wanaemtarajia yeye na mpenzi wake Zari.
Chanzo: Millardayo.com
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.