Mchaka Zaidi

Sunday, April 17, 2016

VIDEO: Barabara za juu kuanza kutumika Dar, Rais Magufuli Kauzindua mradi wake jana



April 16 2016 Rais John Pombe Magufuli amefanya uzinduzi wa mradi wa barabara ya juu ‘Flyover’ Dar es salaam, barabara inayotarajiwa kuanza kufanya kazi mwaka 2018.

Picha13: Harmonize alivyotoa Burudani ya nguvu kwa watu wa Mwanza kwa mara ya kwanza


Usiku wa April 16, 2016, watu wangu wa Mwanza kwa mara ya kwanza kwenye stageHarmonize alikutana na watu wake kwenye shangwe

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 17 2016 kwenye, Hardnews na michezo


April 17 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu..

Wednesday, April 13, 2016

Majibu ya Diamond… kwanini aliibeba familia na kwenda nayo Ulaya, bongofleva ilipofikia


Diamond Platnumz alionekana kwenye safari zilizofikia tisa kwa kutembelea nchi mbalimbali za Ulaya na kufanya show ambapo kwenye hii Exclusive anaeleza kwanini alisafiri na