Mchaka Zaidi

Friday, April 29, 2016

VideoMPYA: Nisher kaweka mikono yake kwenye ‘boge’ Emmanuel Austin ft. Ben Pol


Ulimiss kazi za Director Nisher? kama jibu ni Yes basi
inabidi ujue ameweka mikono yake kwenye hii video mpya ya mwimbaji Emmanuel Austin ambayo kamshirikisha Ben Polinaitwa ‘boge‘ ukishaitazama usiache kutoa comment yako mtu wa nguvu ili wenyewe wakipita wajue watu wao wanasemaje.




Source:millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.