Mchaka Zaidi

Wednesday, April 13, 2016

Majibu ya Diamond… kwanini aliibeba familia na kwenda nayo Ulaya, bongofleva ilipofikia


Diamond Platnumz alionekana kwenye safari zilizofikia tisa kwa kutembelea nchi mbalimbali za Ulaya na kufanya show ambapo kwenye hii Exclusive anaeleza kwanini alisafiri na
familia yake akiwemo Mama yake na Mama watoto wake pamoja na mtoto wake.
Amesema >>> ‘Hii ni mara ya kwanza nasafiri na Familia, nimefanya hivi sababu miaka inaenda na mama yangu tangia niwe maarufu hajawahi kwenda Ulaya alikua anaisikia tu kwenye bomba, niliona kesho na keshokutwa nisije kudondoka nikafa alafu mama yangu akabaki akawa anaisikia tu
Kufahamu mengine zaidi aliyosema Diamond tazama hii video hapa chini….

Source:millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.