Usiku wa April 16, 2016, watu wangu wa Mwanza kwa mara ya kwanza kwenye stageHarmonize alikutana na watu wake kwenye shangwe
na zile hits zake za Bado, Aiyolana nyingine, ikiwa ni mwimbaji wa kwanza kutambulishwa kwenye lebo ya WCBinayomilikiwa na mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.