Mchaka Zaidi

Friday, April 29, 2016

VIDEO: Full Time ya Villarreal vs Liverpool ni 1- 0, tazama na goli lenyewe


Game ni ya nusu fainali Europa League ambapo Villarreal FC ya Hispania imechukua ushindi wa
1-0 huku Liverpool ikiondoka bila goli ambapo ushindi wa Villarreal ulipatikana dakika ya (90+2) kupitia kwa Adrian Lopez kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini.


Source: millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.