Mchaka Zaidi

Sunday, January 24, 2016

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 24 2016 kwenye Hardnews, michezo mengine

January 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu..

Wednesday, December 30, 2015

Tekno wa Nigeria kathibitisha Kolabo za Watanzania hawa watatu….


Hit Maker wa singo ya Duro kutoka Nigeria Tekno leo ametaja Wasanii wa Kitanzaniaambao tayari ameshafanya nao kolabo ambao hajui lini nyimbo hizi zitatolewa rasmi.

Pichaz 7 za Mbwana Samatta alivyokutana na waziri wa michezo Nape Nnauye wizarani Dec 30 …


December 30 ilikuwa ni siku ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kukutana na uongozi wa wizara ya habari, vijana, utamaduni, burudani na michezo Nape Nnauye.

Sunday, December 20, 2015

Picha 7 za Mwanza walivyoanza kufanya shopping kwenye mall mpya ya Rock City



Watu wa Mwanza kwa mara ya kwanza December 19 2015 walifanya shopping kwenye mall ya kwanza kujengwa kwenye jiji lao iitwayo “Rock City Shopping Mall” ambayo ilijengwa kwa zaidi ya miaka miwili.

Walichofanya kwenye stage Dar Koffi Olomide, WEUSI, Navy Kenzo, Young D, Belle 9, MwanaFA na wengine


Ni show ambazo zote zimefanyika Escape One Dar es salaam ndani ya wiki tatu zilizopita ambapo staa wa Afrika kutokea Congo DRC Koffi Olomide aliimiliki stage kwa zaidi ya dakika 60, zitazame show zenyewe hapa chini…

Thursday, December 17, 2015

Kilichowakuta Watumishi wanne wa serikali waliosafiri kwenda nje ya nchi bila ruhusa ya Rais Magufuli


Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alifuta safari za Watumishi wa serikali nje ya nchi na iwapo itatokea kuna safari za nje, ruhusa ni lazima itoke kwake au kwa katibu mkuu kiongozi, baada ya hayo kuna Watumishi wanne