Mchaka Zaidi

Sunday, December 20, 2015

Walichofanya kwenye stage Dar Koffi Olomide, WEUSI, Navy Kenzo, Young D, Belle 9, MwanaFA na wengine


Ni show ambazo zote zimefanyika Escape One Dar es salaam ndani ya wiki tatu zilizopita ambapo staa wa Afrika kutokea Congo DRC Koffi Olomide aliimiliki stage kwa zaidi ya dakika 60, zitazame show zenyewe hapa chini…
KOFFI OLOMIDE LIVE IN DAR ES SALAAM…


ON STAGE: WEUSI, MAUA, MwanaFA, BLUE, BELLE 9, DIMPOZ, MSAMI NA WENGINE


ON STAGE: Ruby, Navvy Kenzo, Jux, Baraka, Young D, Mirror.




Chanzo: Millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.