Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alifuta safari za Watumishi wa serikali nje ya nchi na iwapo itatokea kuna safari za nje, ruhusa ni lazima itoke kwake au kwa katibu mkuu kiongozi, baada ya hayo kuna Watumishi wanne
ambao wamekwenda nje ya nchi bila ruhusa yake, wamezungumziwa kwenye hii video hapa chini.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.