Hit Maker wa singo ya Duro kutoka Nigeria Tekno leo ametaja Wasanii wa Kitanzaniaambao tayari ameshafanya nao kolabo ambao hajui lini nyimbo hizi zitatolewa rasmi.
Kwenye interview yake na kipindi cha XXL kutoka Clouds Fm Tekno amesema mpaka sasa amesharekodi na Rummy,Vanessa Mdee na Diamond Platnumz.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.