Monday, June 22, 2015
Hali ilivyo baada ya Bunge kuvamiwa Afghanistan leo June 22 2015 (Picha)
Hali sio nzuri Afghanistan, kingine kilichochukua headlines kwenye TV za Kimataifa na Mitandaoni ni ishu ya kuvamiwa kwa Bunge la nchi hiyo, mabomu na risasi vimetumika pia !!
South Africa kwenye headlines na vurugu alizofanyiwa Rais Jacob Zuma bungeni!!
Tarehe 19 June mwaka huu Bunge la South Africa liliingia kwenye headlines katika vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii baada ya baadhi ya viongozi kutoka chama cha upinzani kuanzisha vurugu zilizo pelekea kuahirishwa kwa Bunge hilo siku ya ijumaa.
Subscribe to:
Posts (Atom)