Mchaka Zaidi

Wednesday, June 10, 2015

Magufuli Aendelea Kusaka Wadhamini, Agoma Kuzungumza

Mkulima wa Darasa la Saba Ajitosa Urais CCM


KATIKA hali isiyo ya kawaida, mkulima kutoka Kijiji cha Mjimtala Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma, Eldoforce Bilohe (43) jana alitinga makao makuu ya Chama Cha Mapindizi (CCM) kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kuteuliwa kuwa mgombea urais, bila kuwa na ada huku akiwa amebeba maji ya chupa kwapani.
 

Saturday, June 6, 2015

HII NI HABARI YA MAMA ANAYESOMA SHULE YA MSINGI MERU ARUSHA NA WATOTO WAKE WANAOSOMA DARASA LA TANO NA CHEKECHEA.

 
Aisha (katikati nyuma) akiwa na wanae watatu shuleni

Urais 2015: Mwigulu achukua fomu,Asema Kikwete ni Rais wa Mwisho Kutawala Tanzania Masikini

Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba pamoja na Mke wake katika ukumbi wa makao makuu ya CCM Dodoma.
 

CCM Yawabana Wagombea Urais.....Yawazuia Kushiriki Midahalo, Kubandika Picha Magari Yao wala Kufanya Kampeni


WAKATI Watanzania na hasa viongozi wa sekta binafsi, wakijiandaa kupima uwezo na uelewa wa watangaza nia wa CCM, katika masuala muhimu ya kiuchumi kwenye mdahalo ulioandaliwa kesho kutwa, chama hicho kimepiga marufuku watangaza nia hao kushiriki midahalo hiyo.
 

Padre na Wanafunzi sita Wateteketea Kwa Moto


WANAFUNZI sita wa Sekondari ya CTC Kigonsera inayomilikiwa na Misheni ya Mbinga mkoani Ruvuma na Mkuu wa Shule hiyo, Padre Yazint Kawonga, wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutumbukia bondeni kisha kuwaka moto na kuiteketeza miili yao.

Watu saba wakamatwa na Bunduki na Risasi 59 jijini Da res salaam


JESHI la Polisi limefanikiwa kukamata Silaha, watuhumiwa wa uhalifu wa kutukia silaha katika oparesheni iliyoendeshwa kwa nyakati tofauti katika Jiji la Dar es Salaam.