Mwigizaji Wema Sepetu amewataka watu wanomsakama kwa maneno waache apumzike kufanya hivyo kwani yeye ni binadamu kama ilivyo kwa wengine na anaumia kama wanavyoumia wengine.
MWENYEKITI wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi, ametuhumiwa kutaka
kuiangusha Serikali ya Rais Jakaya Kikwete na kumshughulikia baada ya
kumaliza uongozi wake Oktoba, mwaka huu.

Watanzania
wanaoishi Afrika Kusini, wako hatarini kutokana na vurugu zinazofanywa
na wenyeji wa nchi hiyo, dhidi ya wananchi wengine wa asili ya Afrika
wanaoishi nchini humo.