Mchaka Zaidi

Thursday, August 24, 2017

Tundu Lissu kashindwa kufika Mahakamani…alichosema Wakili wake je?


Wakili wa Tundu Lissu, Peter Kibatala ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wanauomba upande wa Serikali, ufikishe ujumbe kwa Jeshi la Polisi ili wamfikishe Lissu Mahakamani hapo.
Kibatala ameyasema mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa baada ya Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi kusema mshtakiwa hayupo anashikiliwa na Jeshi la Polisi, hivyo anaomba kesi hiyo iahirishwe hadi Jumatatu August 28, 2017.
Baada ya kueleza hayo, wakili Kibatala akamuomba Kishenyi afikishe ujumbe kwa Polisi kwamba Lissu afikishwe Mahakamani ambapo kesi iliahirishwa hadi August 28, 2017.
POLISI NYUMBANI KWA LISSU, WAMKAGUA TENA

Source:millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.