Habari iliyonifikia asubuhi hii ya August 24, 2017 kutoka Morogoro ni kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya daladala walilokuwa wanasafiria kugonga Train maeneo ya TANESCO.
Ayo TV na millardayo.com zinaendelea kufuatilia na zitakupa UPDATES kila zinapopatikana…
Source:millardayo.com
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.