Mchaka Zaidi

Monday, August 21, 2017

Ushindi wa kwanza wa Chelsea EPL msimu wa 2017/18


Marcos Alonso amefunga mara mbili mabingwa watetezi Chelsea wakiifunga Tottenham katika mchezo wao kwanza wa Premier League uliopigwa Wembley.


Vijana wa Mauricio Pochettino wanatumia uwanja Taifa kwa mechi zao za nyumbani msimu huu kwa sababu uwanja wao wa White Hart Lane unafanyiwa maboresho.

Mlinzi wa pembeni Alonso alianza kuifungia Chelsea bao la kuongoza dakika ya 24 kabla ya Michy Batshuayi kujifunga wakati anaokoa mpira wa adhabu uliopigwa na Christian Eriksen dakika 82 huku Alonso akiifungia bao la ushindi dakika ya 87.

Msimamo wa EPL


Source:millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.