Mchaka Zaidi

Monday, August 21, 2017

Kutoka Msoga Chalinze shambani kwa Rais Mstaafu JK


Rais mstaafu wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete ameendelea na kuwekeza nguvu zake katika kilimo wakati huu ambao amestaafu majukumu yake ya Urais.


Rais Kikwete kutumia ukurasa wake wa instagram amepost picha nne akiwa shambani kwake Msoga Chalinze katika shamba la mahindi wakivuna, Rais mstaafu Kikwete alikuwa akivuna na mkewe Mama Salma Kikwete.


“Tunakamilisha msimu wa mavuno kijijini Msoga Chalinze, umekuwa msimu mzuri”>>> Rais Kikwete


Source:millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.