Ndugu wapendwa,wenye upendo katika blogs, nawaombeni support yenu katika kuoipokea blog yangu ambayo ni mpya katika soko la wapenda blog.
Blog inaitwa Mchaka2 News <inamaana Mchaka Mchaka News>. Blog hii ni kwaajili ya kuwapa wapendwa habari mbalimbali ambazo zinajitokeza ulimwenguni. Tapenda kukujuza kila habari mpya inapotokea.
Kwa upendo,umoja na ushirikiano nawaomba,kuperuzi na kunijuza mapungufu mbalimbali ya habari zitakazo kua zimewekwa na Mchaka2 News.
Kwa moyo wa dhati kabisa nawakaribisha tujumuike pamoja katika Mchaka2 News
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.