Mchaka Zaidi

Sunday, March 29, 2015

Abdul Bonge, Mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection Afariki Dunia



Aliyewahi kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge amefariki dunia 

ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.
 
Chanzo cha kifo cha Abdul Bonge bado hakijafahamika ila msiba upo Manzese Tip Top.
 

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.