Mchaka Zaidi

Saturday, May 5, 2018

VIDEO: ANGALIA ILIVYOKUA KATI YA BRIGHTON VS MUN U JANA MAY 4


Tazama kilichojili mechi ya Brighton Vs Mun U, nimekusogezea highlights

Habari kubwa za Magazeti ya TZ leo May 5 Udaku, Michezo na Hardnews

Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania May 6 2018 kuanzia ya, UdakuMichezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

Friday, May 4, 2018

Habari kubwa za Magazeti ya TZ leo May 4 Udaku, Michezo na Hardnews


Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania May 4 2018 kuanzia ya, UdakuMichezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

Thursday, March 29, 2018

Luka Modric yupo tayari kuungana tena na Mourinho


Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alimsajili Luka Modric kutokea Tottehan Hotspurs kwenda Real Madrid mwaka 2012

Habari kubwa za Magazeti ya TZ leo March 29 2018 Udaku, Michezo na Hardnews


Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania March 29 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

Wednesday, March 28, 2018

VIDEO: Argentina imechukua kipigo cha 6-1 dhidi ya Hispania ikimkosa Messi


Baada ya timu ya taifa ya Argentina kucheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Italia na kupata ushindi wa 2-0 weekend katika uwanja wa Etihad jijini Manchester huku staa wao Lionel Messi akiwa benchi, leo wamecheza game yao ya pili ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Hispania katika jiji la Madrid nchini Hispania.

AYOTV VideoMAGOLI: Samatta na Kichuya walivyowaua Congo leo March 27, FT 2-0