Mchaka Zaidi

Wednesday, March 28, 2018

AYOTV VideoMAGOLI: Samatta na Kichuya walivyowaua Congo leo March 27, FT 2-0



Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars baada ya kupoteza mchezo wa dhidi ya timu ya taifa ya Algeria kwa magoli 4-1 nchni Algeria, leo uwanja wa Taifa walicheza dhidi ya timu ya taifa ya Congo DRC na kupata ushindi wa magoli 2-0, magoli yakifungwa na Mbwana Samatta dakika ya 74 na Shiza Kichuya dakika ya 85.

SOURCE:Millardayo.com

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.