Watu 10 wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro baada ya kukamatwa
msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi
inayodaiwa kutumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab wa nchini
Somalia.
Baada ya utata mzito kutawala kwenye vyombo vya habari
juu ya uhalali wa mtoto wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa
Mitego’ kwa mzazi mwenzake Siwema Edson, hatimaye kipimo cha vinasaba
(DNA) kimetoka na kumaliza ubishi kwamba mtoto huyo aitwaye Curtis ni
damu halisi ya msanii huyo.
Kiongozi wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hawezi
kulumbana na viongozi wa chama chake cha zamani cha Chadema kwa kuwa
anachofanya sasa ni kutafuta wanachama wa chama chake kipya.
Kamanda
wa Polisi wa kikosi cha usalama Barabarani Mohammed Mpinga,akizungumza
na waandishi wa habari hawapo pichani ofisini kwake jijini Dar es
Salaam jana.
Mwenyekiti
wa taifa wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba
akizungumza na baraza la uongozi wa chama hicho (hawapo pichani)
iliyofanyika Makao Makuu ya Chama hicho jijini Dar es Salaam, wapili
kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad, kushoto
ni Naibu Katibu Mkuu Zanzibar,Nassor Ahmed na kushoto ni makamu
Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Taifa,Duni Haji.