Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya TanzaniaMay 6 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya TanzaniaMay 4 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania March 29 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
Baada ya timu ya taifa ya Argentina kucheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Italia na kupata ushindi wa 2-0 weekend katika uwanja wa Etihad jijini Manchester huku staa wao Lionel Messi akiwa benchi, leo wamecheza game yao ya pili ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Hispania katika jiji la Madrid nchini Hispania.
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazetiya Tanzania March 27 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezona Hardnewskujionea yote makubwa yaliyoandikwa
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania March 27 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa
Jumamosi ya March 24 2018 bondia mtanzania Bruno Tarimo aliingia ulingoni kucheza pambano lake la 25 nchini Australia dhidi ya bondia kutoka Australia na kufanikiwa kumpiga na kushinda mkanda wa dunia wa WBA.