Mchaka Zaidi

Sunday, November 20, 2016

Magazeti ya Tanzania November 20, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo



November 18 2016 naanza kukusogezea post zote kubwa kwenye zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,UdakuHardnews na Michezo ili uje kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye Facebook, Twitterna,Instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia

Tuesday, November 15, 2016

Magazeti ya Tanzania November 15, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo


November 15 2016 naanza kukusogezea post zote kubwa kwenye zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,UdakuHardnews na Michezo ili uje kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye Facebook, Twitterna,Instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia

Friday, November 4, 2016

Magazeti ya Tanzania November 4, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo


November 4 2016 naanza kukusogezea post zote kubwa kwenye zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,UdakuHardnews na Michezo ili uje kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye Facebook, TwitternaInstagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia

Sunday, October 30, 2016

Picha 20: Tukio zima la Miss Tanzania 2016, lilofanyika Mwanza kwa Mara ya Kwanza

Jana kwa mara nyingine tena Tanzania imeingia kwenye Headline ya kumpata Miss Tanzania 2016 baada ya miaka miwili kupita bila kufanyika shindano la Miss Tanzania, Shindano la Miss Tanzania limefanyika Mwanza kwa mara ya kwanza na mrembo kutokea Kinondoni Dar es salaam Diana  Edward Lukumai amekuwa mshindi kwa kati ya warembo 30millardayo.com inakupata picha za tukio zima na Ayo Tv itakusogezea tukio zima.

Magazeti ya Tanzania October 30, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo


October 30 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

Monday, October 24, 2016

Mourinho kakubali kipigo cha 3 EPL dhidi ya Chelsea Stamford Bridge


Jumapili ya October 23 2016 ndio siku ambayo kocha wa Man United Jose Mourinho alirudi tena Stamford Bridge kwa mara nyingine kucheza dhidi ya timu yake ya zamani ya Chelsea

Watoto wakimbizi wa Syria wafanyishwa kazi Uturuki

Baadhi ya watoto wakifanya kazi kiwandani
Uchunguzi wa siri uliofanywa na BBC umebainisha kuwa watoto wakimbizi wa Syria wamekuwa wakiajiriwa kinyume cha Sheria katika viwanda vya nguo nchini Uturuki.