Jana kwa mara nyingine tena Tanzania imeingia kwenye Headline ya kumpata Miss Tanzania 2016 baada ya miaka miwili kupita bila kufanyika shindano la Miss Tanzania, Shindano la Miss Tanzania limefanyika Mwanza kwa mara ya kwanza na mrembo kutokea Kinondoni Dar es salaam Diana Edward Lukumai amekuwa mshindi kwa kati ya warembo 30, millardayo.com inakupata picha za tukio zima na Ayo Tv itakusogezea tukio zima.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.