Sijawahi
kuwa Mwanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo na sijafikiria
kujiunga na chama hicho. Nilishawahi kuwa Mwanachama mtiifu wa
chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema)
KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, ilikuwa na kikao chake cha
kawaida cha siku mbili kilichokaa tarehe, 23 na 24 mwezi huu na
kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa, Anna Mghwira, pia kilihudhuriwa na
kiongozi wa Chama Zitto Zuberi Kabwe.