Mchaka Zaidi

Monday, August 21, 2017

Ushindi wa kwanza wa Chelsea EPL msimu wa 2017/18


Marcos Alonso amefunga mara mbili mabingwa watetezi Chelsea wakiifunga Tottenham katika mchezo wao kwanza wa Premier League uliopigwa Wembley.

Kutoka Msoga Chalinze shambani kwa Rais Mstaafu JK


Rais mstaafu wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete ameendelea na kuwekeza nguvu zake katika kilimo wakati huu ambao amestaafu majukumu yake ya Urais.

Magazeti ya TZ leo August 21..Dini, Michezo na Hardnews


Asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo August 21 2017 kuanzia ya Dini, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.

Tuesday, August 15, 2017

Makubwa ya Magazeti ya TZ leo August 15..Udaku, Michezo na Hardnews


Asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo August 15 2017 kuanzia ya Dini, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

Ronaldo apigwa marufuku ya mechi tano

Ronaldo baada ya kupewa kadi nyekundu
Mchezaji nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amepewa marufuku ya mechi tano baada kupewa kadi nyekundi wakati wa mechi ya el Clasicco siku ya Jumapili.

Saturday, May 6, 2017

Kundi la Hamas lapata kiongozi mpya

Ismael Haniyeh ndio kiongozi mpya wa kundi la Hamas

Wapiganaji wa Palestina Hamas wamepata kiongozi mpya.

Manchester City yaikaranga Crystal Palace mara tano

crystal palace

Klabu ya Manchester City imerudi katika nafasi yake ya tatu katika ligi ya Uingereza baada ya kupata ushindi mkubwa dhidi ya Crystal Palace ambayo imeshindwa kwa mara ya tatu mfululizo.