Mahakama ya juu nchini Korea Kusini imeunga mkono uamuzi wa bunge wa kumuondoa rais wa taifa hilo Park Geun-hye mamlakani
Friday, March 10, 2017
VIDEO: Baada ya mechi 9 za Europa bila goli, Samatta kaandika historia mpya ushindi wa 5-2
Mashabiki wa soka wa Tanzania ambao wanafuatilia kwa karibu maendeleo ya soka la nahodha wao wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta akiwa na timu yake ya KRC Genk ataifanyia nini katika mchezo wa kwanza wa UEFA Europa League hatua ya 16 bora dhidi ya KAA Gent kutoka Ubelgiji pia.
Magazeti ya Tanzania March 10, 2017 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
Good Morning mtu wa nguvu, leo ni March 10 2017 na kama ilivyo kawaida yangu ya kila siku alfajiri nimekusogezea habari kubwa kwenye Magazeti kurasa za mwanzo na mwisho kuanzia ya Udaku, Hardnews na Michezo ili ujUe kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye Facebook, Twitter na Instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia
Sunday, November 20, 2016
Magazeti ya Tanzania November 20, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
November 18 2016 naanza kukusogezea post zote kubwa kwenye zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,Udaku, Hardnews na Michezo ili uje kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye Facebook, Twitterna,Instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia
Tuesday, November 15, 2016
Magazeti ya Tanzania November 15, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
November 15 2016 naanza kukusogezea post zote kubwa kwenye zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,Udaku, Hardnews na Michezo ili uje kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye Facebook, Twitterna,Instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia
Friday, November 4, 2016
Magazeti ya Tanzania November 4, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
November 4 2016 naanza kukusogezea post zote kubwa kwenye zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,Udaku, Hardnews na Michezo ili uje kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu kwenye Facebook, TwitternaInstagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachoonifikia
Sunday, October 30, 2016
Picha 20: Tukio zima la Miss Tanzania 2016, lilofanyika Mwanza kwa Mara ya Kwanza
Jana kwa mara nyingine tena Tanzania imeingia kwenye Headline ya kumpata Miss Tanzania 2016 baada ya miaka miwili kupita bila kufanyika shindano la Miss Tanzania, Shindano la Miss Tanzania limefanyika Mwanza kwa mara ya kwanza na mrembo kutokea Kinondoni Dar es salaam Diana Edward Lukumai amekuwa mshindi kwa kati ya warembo 30, millardayo.com inakupata picha za tukio zima na Ayo Tv itakusogezea tukio zima.
Subscribe to:
Posts (Atom)