Jumapili ya October 23 2016 ndio siku ambayo kocha wa Man United Jose Mourinho alirudi tena Stamford Bridge kwa mara nyingine kucheza dhidi ya timu yake ya zamani ya Chelsea
Uchunguzi wa siri uliofanywa na BBC umebainisha kuwa watoto wakimbizi wa Syria wamekuwa wakiajiriwa kinyume cha Sheria katika viwanda vya nguo nchini Uturuki.
October 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye,Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.
August 6 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.