March 14 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram@millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.
Monday, March 14, 2016
MOVIE: Matron wa shule kamzimia Mwanafunzi jeuri shuleni… (sehemu ya mwanzo)
Ni movie ya Mtanzania Salma Jabu maarufu ‘Nisha’ ambaye humo ndani yuko na mastaa kadhaa wa movie bongo akiwemo Mzee Majuto, na hii ni sehemu tu ya movie yenyewe inaitwa ‘Kiboko Kabisa’
Samatta kaiongoza KRC Genk katika ushindi wa goli 4-1, video ya goli lake hii
Kwa mara ya kwanza klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ambayo inaongozwa na kocha lakini inachezewa na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta, imempa nafasi ya kuanza katika mchezo wa leo dhidi ya klabu ya KV Oastende.
Friday, February 19, 2016
Maamuzi ya Rais Magufuli baada ya kukutana na wasanii Ikulu….
Feb 18 2016 Rais John Pombe Magufuli alikutana na baadhi ya wasanii pamoja na makundi aliyoshirikiana nayo katika kampeni zake za kuwania Urais mwaka 2015.
Sunday, January 24, 2016
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 24 2016 kwenye Hardnews, michezo mengine
January 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu..
Wednesday, December 30, 2015
Tekno wa Nigeria kathibitisha Kolabo za Watanzania hawa watatu….
Hit Maker wa singo ya Duro kutoka Nigeria Tekno leo ametaja Wasanii wa Kitanzaniaambao tayari ameshafanya nao kolabo ambao hajui lini nyimbo hizi zitatolewa rasmi.
Subscribe to:
Posts (Atom)