Mchaka Zaidi

Monday, June 22, 2015

Lowassa Azidi Kupata Mapokezi Makubwa Kila Anakoenda.......Songea Alazimika Kukaa Juu ya Paa la Nyumba, Asema Jina Lake Haliwezi Kukatwa


WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka na swala la kukatwa jina lake katika vikao vya Chama cha Mapinduzi(CCM), kwani anaamini Chama chao kitatenda haki kwa kurudisha jina lake kuwa mgombea urais wa Tanzania.

Risasi Zarindima Vituo Vya BVR Arusha, Godbless Lema Atiwa Mbaroni


MILIO ya risasi ilisikika katika vituo vya uandikishaji kura katika kata ya Sokoni One jijini hapa, baada ya kuibuka kwa vurugu zilizohusisha vijana wa Chadema na wenzao wa CCM, chanzo kikitajwa madai ya kuwepo kwa watu ambao sio wakazi wa eneo hilo kutaka kujiandikisha.
 

Saturday, June 20, 2015

HII SIKUBALI UPITWE;Kuna TV ya Venezuela ambayo watangazaji wa kike wanasoma habari wakiwa watupu


Nape Amshambulia Freeman Mbowe........Amtaka AJIUZULU Maana Amekiabisha Chama Kwa Hukumu Aliyopewa.


KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kujiuzulu uenyekiti kwa kile alichosema amekiaibisha chama kwa hukumu aliyopewa hivi karibuni.
 

Godbless Lema Apata mpinzani Arusha ......Aja na Kauli mbiu "Chagua maendeleo usichague Soda"


HARAKATI za kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini zimeanza baada ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustafa Abdulla Panju, kutangaza rasmi nia ya kugombea nafasi hiyo akiwa na kauli mbiu ya chagua maendeleo, usichague soda.
  

Thursday, June 18, 2015

MAAJABU YA KARANGA MBICHI NA KUKAANGA NAMNA INAVYOKINGA MAGONJWA YA MOYO NA KUPOOZA MWILI.

 
Na Mchambuzi, Maalim Saad.
MAAJABU YA KARANGA
Wengi wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Kiukweli karanga siyo chakula cha kupuuziwa
iwapo utajua faida zake kama nitakavyokujuza leo katika makala haya.


Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe AHUKUMIWA Jela Mwaka Mmoja.


MAHAKAMA ya wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, imemtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh milioni moja, kutokana na kesi iliyokuwa ikimkabili ya kumshambulia mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.