Mchaka Zaidi

Sunday, May 10, 2015

Urais CCM waiweka pabaya Kamati Kuu.....Yadaiwa Inafanya Upendeleo Kwa Baadhi ya Wagombea


Mbio za urais ndani ya CCM sasa zimefikia pabaya baada ya kuibuka hofu ya kuwapo kwa mpango wa kuivuruga Kamati Kuu kabla ya haijakutana kuchuja majina ya makada watakaotakiwa kupigiwa kura na Halmashuri Kuu ili kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu. 

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Tarehe 10 May 2015


Hatima ya Lowassa, Membe sasa Mei 20


Filimbi ya kuanzisha mbio za urais kwa tiketi ya CCM itapulizwa Mei 23 baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho tawala, huku makada sita walio ‘kifungoni’ wakitarajia kujua hatima yao kwenye mbio hizo Mei 20.